ITV vs Isidingo ni kipi chungu lililoiva

pongwer

Senior Member
Mar 19, 2015
174
26
Nina maswali machache nataka niwaulize ITV

1. Isidingo ina manufaa gani kwa watanzania
2. Tamthilia gani haina mwisho?
3. Kuna mtanzania gani ambaye anaangalia tamthilia hiyo.
4. Nyie ITV mmeshafanya uchunguzi gn na kukuta watanzania wanaifuatilia?
5. Tamthilia gani miaka zaidi ya 20 na bado inaendelea nyie wenyewe hamchoki kuionyesha?
 
Sasa kama wewe huifuatilii unadhani na wengine hawaifuatilii!? Unadhani kila mtu ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino na Kimexico!?
Mimi naifuatilia na nina wafahamu watu weengi sana wana ifuatilia.
Na unatakiwa uwe na akili njema ndio uta ielewa isidingo na pia kuelewa themes mbali mbali zinazo kuja na kuondoka ila kwa wewe na wenzako wenye akili ndogo ambao mna elewa themes moja au mbili mnatakiwa muangalia za kifilipino na za kibongo.
 
Mimi sitaki hata kusikia neno isidingo. Anyway kuna wanaoipenda, waje watupe uzuri na umuhimu wa hii tamthilia. Napendekeza ITV watumie mda wa kuonesha hiyo tamthilia kupiga angalau taarabu tu, kipindi kitapata wapenzi na watazamaji wengi
 
Mimi sitaki hata kusikia neno isidingo. Anyway kuna wanaoipenda, waje watupe uzuri na umuhimu wa hii tamthilia. Napendekeza IYV watumie mda wa kuonesha hiyo tamthilia kupiga angalau taarabu tu, kipindi kitapata wapenzi na watazamaji wengi

good
 
hahaha waache bana wewe ,unanikumbusha machungu tu kuna demu nlikua nampenda sana halafu alivuta kwa ngoma R.I.P Letti Matabane
 
Kuna kitu kinaitwa days of our lives yaani toka miaka ya sabini mpaka leo ipo anyway to me isidingo iendelee kuwepo milele kuna mengi ya kujifunza
 
Sasa kama wewe huifuatilii unadhani na wengine hawaifuatilii!? Unadhani kila mtu ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino na Kimexico!?
Mimi naifuatilia na nina wafahamu watu weengi sana wana ifuatilia.
Na unatakiwa uwe na akili njema ndio uta ielewa isidingo na pia kuelewa themes mbali mbali zinazo kuja na kuondoka ila kwa wewe na wenzako wenye akili ndogo ambao mna elewa themes moja au mbili mnatakiwa muangalia za kifilipino na za kibongo.

hata kama wew pimbi si bora watafute movie za kibongo zenye maadili aonyeshe kwa manufaa ya taifa unaifatilia wew tu na mashoga wenzako
 
Nina maswali machache nataka niwaulize ITV

1. Isidingo ina manufaa gani kwa watanzania
2. Tamthilia gani haina mwisho?
3. Kuna mtanzania gani ambaye anaangalia tamthilia hiyo.
4. Nyie ITV mmeshafanya uchunguzi gn na kukuta watanzania wanaifuatilia?
5. Tamthilia gani miaka zaidi ya 20 na bado inaendelea nyie wenyewe hamchoki kuionyesha?
bora nikaangalia ata x kuliko hiyo isidingo maana ciwasomag yan
 
hata kama wew pimbi si bora watafute movie za kibongo zenye maadili aonyeshe kwa manufaa ya taifa unaifatilia wew tu na mashoga wenzako
So na wewe mwanzoni ulikua Shoga ndio maana ukawa una ifuatilia!
BTW mama yako ana jua kuwa mimi ni Rijali na hata Dada yako pia ana weza kukuthibitishia.
 
Kweli waseng.e hamnaga mkole!...mimi kila Jumapili ile saa 4 huntoi kwenye TV!..ikiisha Isidingo ndo naanza siku!
...wewe na machoko wenzio angalieni tamthilia zenu za kifilipino maamae!
 
kwa mawazo yako na michango yako hapa kwenye uzi ni dhahiri una umri mdogo, elimu ndogo na bila shaka ni wa 'kuja' n.k. Kwa hzo sifa kamwe huwez kuielewa isidingo. endelea kuangalia chereko, taarabu na katuni kwenye tv ya taifa.!
 
Back
Top Bottom