meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
wataonyesha vip wakati ana mke wake wa ndoa.
Huu ni udaku full.
Ni mara nyingi ITV huwa wanampa airtime ya kutosha mzee wetu Mengi akiwa kwenye matukio mbalimbali.
Nawashawishi waandae kipindi maalumu cha kuonesha ndoa ya Mzee wetu ilivyofana.
Ndoa ni heshima sio kificho!