ITV tuonesheni ndoa ya Mengi na Klyn!

ITV tuonesheni ndoa ya Mengi na Klyn!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Huu ni udaku full.
Ni mara nyingi ITV huwa wanampa airtime ya kutosha mzee wetu Mengi akiwa kwenye matukio mbalimbali.

Nawashawishi waandae kipindi maalumu cha kuonesha ndoa ya Mzee wetu ilivyofana.

Ndoa ni heshima sio kificho!
 
Washaonesha mara ngapi ndoa zake za hapo awali?
 
Haya hiyo hapo, sema unahitaji na nini zaidi
 

Attachments

  • 1428169376223.jpg
    1428169376223.jpg
    49.4 KB · Views: 578
Na hiyo
 

Attachments

  • 1428169456866.jpg
    1428169456866.jpg
    48.4 KB · Views: 496
Money, ooooh money money money
 
Ukiwa maskini wa pesa utaishia kutoa kauli nyiiingi, ooh unajua, mara aah yule mwizi, aaah wapi mimi, mara basi tu inge...'
Ila wacha mzee mwenzangu afaidi dunia bana.
 

Attachments

  • 1428173878813.jpg
    1428173878813.jpg
    28.5 KB · Views: 365
  • 1428173890613.jpg
    1428173890613.jpg
    27.8 KB · Views: 354
Huu ni udaku full.
Ni mara nyingi ITV huwa wanampa airtime ya kutosha mzee wetu Mengi akiwa kwenye matukio mbalimbali.

Nawashawishi waandae kipindi maalumu cha kuonesha ndoa ya Mzee wetu ilivyofana.

Ndoa ni heshima sio kificho!

si mzee tena
 
Back
Top Bottom