Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,685
- 149,892
Waandishi wa habari hebu fanyeni fair kwa kuwaalika katika vyombo vyenu vya habari matajiri hawa wakubwa wa biashara hii ya sukari ili tuweze kusika kutoka kwao pia(natural justice).
Sidhani kama ni busara kuendelea kuwalaumu na kuwajadili hawa wafanyabiashara katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pasipo kuwapa nafasi nao kutoa yao ya mayoni.Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni za upande mmoja tu (kutoka serikalini) ambao wao wanaonekana kujitetea na kulaumu wafanyabiashara hawa kwa uhaba huu wa sukari uliojitokeza hivu sasa pasipo kupata majibu ya hoja hizi za serikali kutoka upande wa pili.
Vile vile tungependa kusikia zaidi kutoka kwa Mama Mary Nagu na kamati yake kuhusiana na swala hili.
Ni ushauri tu.