Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Hata kabla ya kufariki mengi itv walikuwa tayari ubora umeshashukaRIP Mengi, ndio shida ya kampuni za kibongo, akifa mwenyewe ni ngumu sana kampuni kubaki kwenye ubora ule ule.
Yaani hivyo ndivyo infact ni IPP Media zote, zinakatakata DStvLe super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?
Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
Inawezekana kuna gharama hawawezi kuzimudu, za sateliteITV naipenda sana Kwa taarifa ya habari na vipindi vingine ila inakwamakwama sana siku hizi sijui wamepatwa na nini
Pawepo na mawingu au la, wao ni kukatika tuChangamoto kawaida ktk mambo kama hayo...
Ubaya ikiwa ni ya kujirudia kila siku...
Itv wako kwny low orbit ya satelite kwahyo somethng may happen hasa ktk hari ya mawingu kama leo..
Tatizo la kuzimazima halijaanza leo, lina muda mrefu. Redio One nayo hali ni tete, usikivu uko duni na usomaji wa taarifa ya habari ni wa mwendo wa mchakamchaka, sentenso zinaandikwa bila vituo!Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?
Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
Hii TV station nimeifanya ya makumbusho,Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?
Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
True, sisi wa enzi ya tangazo la Revola ni masikitikoPawepo na mawingu au la, wao ni kukatika tu