Ana matatizo huyo aliyetoa hii list! Unawezaje kumweka hapo Usein Bolt kisha ukawaacha Nyerere na Dr. Ben Carson?
Aliyetoa list anazungumzia watu weusi. Sababu za kutaja watu weusi anazijua yeye.Ana matatizo huyo aliyetoa hii list! Unawezaje kumweka hapo Usein Bolt kisha ukawaacha Nyerere na Dr. Ben Carson?
Aangalie nini? Unadhani kila mtu anatumia ma net domain yanayokuwa regulated na TCRA ?
Vi intelligensia vya kibongo hivi technology contractor wao Lugumi ndio wa kufika kila mahali? Usitake kutishia free speech, don't be a wussy.
Uchwara?Clip imelenga mulemule!
Wao hawamlengi mtu ila Nyerere alikuwa anawalenga watanzania hasa akijua kuna mambo ya uchwara yanaweza kutokea na kweli yanatokea!ITV walikuwa wanamlenga nani?
HahaKwa nini usiulize hayati Nyerere alikuwa amemlenga nani?
Sio ujinga,mimi ninakataaStupidity at its best.
Ungeweka hako ka klip mkuu. Au ulikuwa na wasiwasi wa kuwa katika mikono salama? Weka tu si alisema baba wa taifa?Leo ITV wamekuja na Wosia wa Baba wa Taifa kuhusu udikteta ambapo wameonyesha sehemu ya Hotuba ya Mwalimu Nyerere akikemea udikteta hasa wa viongozi wa kiafrika na tabia ya madikteta hao kuminya uhuru wa habari.
Tuma salamu kwa watu watatu!,ITV wazuri sana hayo ni maneno ya mwalimu wala si ITV, asante kwa kuwakumbusha madikteta
Mimi nikajua motochn Ndo kaandika haya! Hahaaa,mwalimu na ITV wote ni wachochezi
ni kweli wana falsafa mara nyingi wanachoongea kinaishi maneno aliongea miaka lakini yaanakisi hali tuliyonayoJina la Mwalimu litaishi kwa miaka mingi sana.
Bila Shaka.Uchwara?
ww utakuwa kilazaMmm wanakusikiliza na wakikukamata. Jela inakuhusu.
Nahisi mibange ilishaharibu huo ubongo wako! Yesu yupo na ataendelea kuwapo! Yesu sio wa mwili na nyama kama wengine jua hilo! ila kwa kuwa wewe ni wa ukoo ule wa Lusifer huwezi kunielewa!