ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

Nimeona na nimeogopa sana ! Aliyosema nyerere wakati ule yanatokea leo ! Hakika Nyerere bado anaishi , Sijui kama ITV haitafungiwa kesho .
Kama ni hivyo watafungia hata vitabu. Kwani mtu akifa hawezi kufunguliwa mashitaka?
 
Contrary to what you've mentioned, the said list comprises 10 Black Men and not 10 Africans.

Kaka ...
 
Angalia sana rafiki mdomo uliponza kichwa!!
Aangalie nini? Unadhani kila mtu anatumia ma net domain yanayokuwa regulated na TCRA ?

Vi intelligensia vya kibongo hivi technology contractor wao Lugumi ndio wa kufika kila mahali? Usitake kutishia free speech, don't be a wussy.
 
.
Hey!
Full suite capital letters amountings to shouting.
It is unreadable.
 
Baada ya kufa.?

Kwanza hajafa wala hawajamuua wana Israel,,,,,,bali bwana alimpandisha kwake mbinguni, na siku ya ujio wake ndio Alama ya saa ya kiama, na atakuja kuwakana wanaosema yeye bwana Yesu kuwa ni Mungu
 
Enzi za Mwalimu kusingekuwa na UKAWA wala UKUTA
 
Nyerere ni wale watu walikuwa na VISION, wanaoona mbali na kuiongelea hiyo mbali na watu hawaelewi ila ikipita miaka kadhaa yale maneno yanaleta maana.

Lala salama Mwalimu, you are my Hero.
 
Ahahahahha conquer of "British Empire", sijui waingereza walikua wanajisikiaje?
Msumari wa moto ni "the lord of all the beast of earth"
Mkuu yule mtu alikuwa noma kwelikweli....aliwahi kumtongoza malkia Elizabeth ili awe mume wake na kupata ufalme wa Scotland...pamoja na kupewa milki za Uingereza za huku Afrika ila hakufanikiwa.
 
Hivi aliyemuweka jela ya nyumbani marehemu Jumbe ni nani? Kutaka serikali 3 ni kosa? Na udikteta ni nini?
Wewe ni mtu mzima, umeongea kama mtu anayeifahamu dunia. Wengi wanajenga picha ya JKN kuwa mtu wa kipekee hawakuwahi hata kuwepo uwanjani na kumsikia live akihutubia, wengi ni copy and paste, hawaifahamu ile spirit ya "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti" halafu wote tunaitikia kwa sauti ya juu "zidumuuu".
 
Kwahiyo unajaribu kusemaje?
 
Kama kayashinda mauti yupo wapi Huyo yesu,si kafa au
Nahisi mibange ilishaharibu huo ubongo wako! Yesu yupo na ataendelea kuwapo! Yesu sio wa mwili na nyama kama wengine jua hilo! ila kwa kuwa wewe ni wa ukoo ule wa Lusifer huwezi kunielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…