Itv na kipima joto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itv na kipima joto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Nov 3, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Habari za jioni wana jamvi ktk tafakari yangu ya leo baada ya taarifa za mitaani za kuhoji kipima joto mara nyingi mtangazaji husema hebu tusikili mwandishi wetu akihojiana na watazamaji wetu wa dar, swali je wakaazi wa dar pekee ndo wanahaki na uwezo tu wakuchangia hizo mada za kipima joto? kwa wale wanaochangia kwa njia ya simu hawapati fursa yakujieleza

  nawakilisha
   
 2. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kipima joto kinampangufu,ninjia moja wapo yakukolekti taarifa lakini ndio hvyo.Labda tuwaambie wanaohusika na kile kipindi,tunakipenda sana kwahiyo tunaomba waje mikoani!
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mi nadhani mapungufu huwa yapo na itv kama itv ni tv ambayo haijaenea maeneo yote ya nchi, na ijulikane kuwa ni gharama kubwa sana tena sana kuwa na wawakilishi kila sehemu, nadhani tungewashukuru kwa pale walipofikia na tungewakosoa pale wanapokosea na tungewashauri pale wanapotakiwa kushauriwa!lengo na madhumuni liwe ni kufikia watu wengi sana nchini na kusaidia kujuza umma yale wasio yajua na vilevile kiwe chombo ambacho kitakuwa na taswira chanya ndani na nje ya mipaka ya nchi!.
   
Loading...