ITV na isidingo the need???

hiyo research umefanya lin ukagundua haina wapenzi? acha kukurupuka wewe...watu tunatoroka job ili mradi tu saa 1 unusu tuwe hme kwa ajir ya isidingo.

Huwa nahakikisha saa 1 na nusu nimeshika remote ya tv. Jana mwanangu kaipokonya kabadilisha channel. Wakati Lincolin anasona will ya Jeffeson sikuona aaaaagggggghhhhh
 
Isidingo ndio the best of all, mtoa hoja hojaM research before.....!Me ni addicted must watch it, na ilipo ni super awesome series film
 

2 members wa familia yangu ni miongoni mwa mashabiki wa hiyo soap opera kazini kwangu Kuna madada wawili ni wafuatiliaji wa hiyo soap,fuatilia unachopost, usiponde bila utafiti,sio vizuri kukurupuka tu alimradi uonekane umepost uzi😛
.
 
Hapana chezea isidingo nikiikosa sina raha, naona wana mpango wa kupunguza waigizaji na fagio lipo kwa Ma Agnes.
 
Isidingo haiwezi kuisha kamwe kama maisha ya kijijini kwenu mtoa uzi ambavyo hayataisha hata kama wewe umeolea Daslam
 

Mkuu umenifurahisha kwa kweli
 

hahaha namtumbo, yaani umenichesha sana
 
Huwa nahakikisha saa 1 na nusu nimeshika remote ya tv. Jana mwanangu kaipokonya kabadilisha channel. Wakati Lincolin anasona will ya Jeffeson sikuona aaaaagggggghhhhh

ahaaa pole sana, ulikosa utam, maana hapo ndo penye ugomvi wa Amu na Katelego
 

Isidingo is the best opera soap in AFRICA Ever, naipenda kwa kweli kama hujui kiingereza, hiyo imekula kwako mkuu...pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…