ITV na habari za saa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV na habari za saa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtende, Mar 28, 2012.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  jamani hivi mimi tu wananiboa au hata wewe? siku za katikati ya wiki ukiangalia itv tangu asubuhi kila baada ya lisaa limoja wanatangaza habari za saa wanazirudiarudia na ikifika usiku tena habari ni zilezile za mchana sasa its real boring sijui akili zao kama zipo sawa
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hamia CNN,algazira,sky news,BBC...utapata walau nafasi ya kukuza uelewa wa mambo...Local news mm siku hizi naona ni maishu yaleyale kila kukicha na ni almost local channels zote!...mtazamo wangu!
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  asante hebu ngoja nihame kabisa maana dahh ni tabu tupu
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hizi liocal channel anagalia vipind maalum tu
   
Loading...