ITV na Gwanda la CHADEMA.

ITV na Gwanda la CHADEMA.

Umemuona ata waziri nyalandu nae anatinga gwanda ila akijidai ni vazi la askari wanyama pori

Nafikiri gwanda linavutia wengi. Hata mimi kabla ya kuvutiwa na seraa ya CDM nilivutiwa na magwanda then sera.

Hata Zitto hataki kuachia gwanda.
 
Ivi ile kamati ya vazi la Taifa wamefikia wp? Hawaoni gwanda ili
 
Team Kilimanjaro#teamMengi#teamKaskazin#teamVitaluvyaGes Mtwara
 
Team Kilimanjaro#teamMengi#teamKaskazin#teamVitaluvyaGes Mtwara

Kwa kasi ya mawazo ya namna hii siku si nyingi tutakuwa vipande vipande.
Ninatafakari kinachojiri afrika ya kati na ni nguvu ya namna gani itahitajika ili kuondoa ubaguzi ulopandwa. Mungu aliyepushe taifa hili alolijalia rasilimali za kutosha lakini ni maskini kweli kweli, kwa kuendekeza mawazo mgando
 
Kwani vile mmiliki nikabila gani?
Na anatokea wapi vile?
 
Back
Top Bottom