mi naona bora pia
ianzishwe JF TV,itatuhabarisha vizuri sana,ujue mm wala huwa siangalii
hyo miTV yenu,habari nyingi current huwa nazipakuwa huku JF
Katika hali ambayo imenishangaza ni vituo hivi vya habari yaani ITV na Channel 10 kutoonyesha habari za press iliyoitishwa na Chadema makao makuu kuhusiana na sakata la katibu wa Chadema kanda maalumu ya Dar es salaam bwana Henry Kileo pamoja na makamanda wengine wanaoshikiliwa na polisi kwa wanachodai kummwagia kada wa ccm tindikali. Imenishangaza sana kuona habari hii ikirushwa na kituo cha Star tv peke yake.
Angalizo langu katika vyombo hivi vya habari ni kwamba wajitathmini na kufanya kazi zao kwa uhuru pasipo kukubali mashinikizo ya ccm na vyombo vyake la sivyo tutavisusia kama ilivyo kwa TBC.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kesho nayo mtaiona haina maana.
Mimi siku hizi niko Star TV na mambo ni bomba. Superbrand no. 1 wamechuja sana. StarTV wana news items nyingi na tena huzizungumzia kwa kirefu.Mimi mwenyewe nimeshuhudia hicho unachokisema.
ITV ni kituo kinachofanya kazi kwa woga sana, Nahisi habari zao mara kadhaa serikali na makada wa CCM wanazi-screen kwanza.
Ni muhimu CHADEMA kuwa na Media zake kuliko kutegemea hizi za wajanjawajanja.
wanaweweseka na kivuli cha mauaji waliyoyasababisha wenyewe
Hawa wote ni magamba. Tuwasusie.
Hakuna haja ya kulalamika wala kushangazwa hizo TV ni za watu binafsi wanarusha matangazo yao kwa mujibu wa taratibu zao, hili kukata mzizi wa fitina anzisheni TV yenu.