Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Sugu siyo dereva, ameuwa vipi sasa? wakati mwingine tunawachonganisha viongozi na wananchi.Mh. Sugu alikuwa anaendesha? Mfumo wetu wa elimu umetufikisha hapa kuwa na watu wa ajabu ajabu kama wewe, chuki zako kwa Mh Sugu zisikupotezee focus
HAPO JUU UMESEMA SUGU AMEUA, SUGU AMEKATISHA UHAI WA MTU KWA UZEMBE. HALAFU UNASEMA HUJAMTAJA SUGU KAMA SIO ZIKA NI NINI NDUGUSugu ameingiaje hapo Au una zika
hebu angalia hii, halafu uache UNAA.Taarifa ya ITV kupuzia aliyekufa na kumpa kipaumbele aliyenusurika
Ukisema amenusurika kifo..unamaanisha kwamba Sugu anathamani kubwa kuliko huyo mtoto aliyekufa...habari kubwa hapa ni kifo cha mtoto na siyo kunusurika kwa suguKwahiyo hapa kero yako ni nini haswa?
ITV waliripoti hivi: Sema mijitu ya Lumumba mmelaaniwa, mnapotosha kila kitu.Ukisema amenusurika kifo..unamaanisha kwamba Sugu anathamani kubwa kuliko huyo mtoto aliyekufa...habari kubwa hapa ni kifo cha mtoto na siyo kunusurika kwa sugu
Jamani ajali ni ajali tuSugu alikuwa abiria kwenye hii ajali ingawa yeye ndie mmiliki wa gari.
Dereva wake alijaribu kusimama kwenye zebra ili yule mtoto yule avuke barabara pale kwenye zebra lakini ndio ivyo tena breki zikafeli ajali ikatokea.
Hilo linaweza kumtokea mtu yeyote na ukumbuke gari ni kama mashine sometimes mashine inafeli kwasababu mbalimbali.
...ajali ni ajali kwa muhanga wa ajali. ..lkn uttering wa mfanyishaji ajali usitufanye tukawa mazuzu ktk kutafuta ri. ...kwa nini " gari in a you huduma mbunge ifeli breki? Kabla ya tukio la kufeli breki walitakiwa wapi? Walipita wapi na kwa spidi gani? Baada ya kumgonga msichana gari ilikwenda umbali gani na kwa spidi gani? Ilikata kona? Ngapi? Ilikatiza ktk makutano ya barabara? Mangapi? ...abiria atakuwa shahidi mzuri ama wa marehem au Dereva wake. ...mambo kwa pilato!Sugu alikuwa abiria kwenye hii ajali ingawa yeye ndie mmiliki wa gari.
Dereva wake alijaribu kusimama kwenye zebra ili yule mtoto yule avuke barabara pale kwenye zebra lakini ndio ivyo tena breki zikafeli ajali ikatokea.
Hilo linaweza kumtokea mtu yeyote na ukumbuke gari ni kama mashine sometimes mashine inafeli kwasababu mbalimbali.
Sugu ameingiaje hapo Au una zika
Na kwanini atangaze ambayo haijakamilika?Kwa hiyo hao polisi waliopata ajali gari yao kupinduka sababu ni zipi?
Wakati mwingine tuheshimu taaluma za watu, hivi angesema xxx amegongwa na kufa nani angesoma hiyo habari maana aliyegongwa hafahamiki. Hivyo entry ni anayefahamika na ultimately na aliyegongwa kajulikana.
Lakini pia wakati anareport je polisi walishadhibitisha kifo cha aliyegongwa?
Kumbuka kifo kinadhibitishwa na watu mahsusi kwa kazi hiyo.
Usichojua uliza ama kaa kimya kuliko kuropoka kama jamaa yule.
Ambayo haijakamilikaNa kwanini atangaze ambayo haijakamilika?
Na kwanini atangaze Habari ambayo haijakamilika?Na kwanini atangaze ambayo haijakamilika?