Sugu alikuwa abiria kwenye hii ajali ingawa yeye ndie mmiliki wa gari.
Dereva wake alijaribu kusimama kwenye zebra ili yule mtoto yule avuke barabara pale kwenye zebra lakini ndio ivyo tena breki zikafeli ajali ikatokea.
Hilo linaweza kumtokea mtu yeyote na ukumbuke gari ni kama mashine sometimes mashine inafeli kwasababu mbalimbali.