ITV mnatia aibu, Acheni kutumika kisiasa

jimu

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
82
Reaction score
8
Sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu Kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa ITV, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya Kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na Maige, unakaa Kahama Motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

ITV tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa CCM mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri Lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa Lowasa.

Mkuu wa Wilaya Kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.Chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.
 
Na taarifa zake zipo biased, ITV mnachafuliwa na watu wenye njaa kama akina Makongo,
 
Sasa nimejua kwanini hali imekua ngumu kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa. Cosmas mwandishi waabari wa itv, umekua unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope. Tunajua umeletwa na maige, unakaa kahama motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya. Itv tulikua tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu. Mwenye kiti wa ccm mkoa kama unautaka u dc subiri lowasa awe rais atakupa tunaokujua wew ni mbwa wa lowasa. dc kahama usipoteze mda wako na huyo aliekua mwiz wa kwenye matren..chapa kazi ukwel na uongo vinaonekana.

Kwani kazi ya mkuu wa wilaya ni nini, mbona povu linakutoka namna hii.
 
Sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu Kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa ITV, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya Kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na Maige, unakaa Kahama Motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

ITV tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa CCM mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri Lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa Lowasa.

Mkuu wa Wilaya Kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.Chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.
jimu, acha kutumika kisiasa. Jaribu kupenda taarifa za kweli!!
 
Na wewe pia acha kutumika kwa kuichafua ITV.

Mbona huisemi ile TV Station nyingine, inayoendeshwa na kodi zetu wananchi wote, bila kujali wewe ni mwanaccm, Chadema, CUF na kadhalika. Lakini siku zote inakuwa biased waziwazi kwa 'kukibeba' chama tawala cha Sisiem?
 
Kwenu inauma kumbe wekeni ukweli wenu mnaoujua kwenye hio tbccm yenu muangalie wenyewe mfurahi
 
Na taarifa zake zipo biased, ITV mnachafuliwa na watu wenye njaa kama akina Makongo,

Watu aliowafananisha na kondoo mbwanwitu
Hivi kati ya Star Tv ,Tbcna ITV nani mbaya na nchochezi ambaye siku zote haijawahi kuona vyombo hivi kuweka taarifa ya upinzani
 
Hoja dhaifu mno. Vyeo vyote havina maana hapa Great Thinkers. Eti mwenyekiti magamba! - hawa escrow -mpyuuu. Eti mkuu wa wilaya - hawa wavaa vikukuu! - mpyuuuu. Tusipoteze muda na wanaosubiri kiama chao Oktoba.
 
MLETA MADA ANALAANA YA MAMA YAKE MZAZI, Kwanza Ajiulize Miili Ya Watoto Watano Ilizikwa Bila Sanda Na Badala Yake Ilivilingishwa Kwenye Mifuko Ya Viroba Ikazikwa Tena Kwenye Kaburi Moja, HV HUYO MKUU WA WILAYA BENSON MPESYA ANGEKUWA ANATHAMINI WANANCHI ALISHINDWA HATA KUWANUNULIA SANDA MAPEMA ACHILIA MBALI KUSHIRIKI MAZISHI HAYO HADI WATOTO WAKAZIKIWA KWENYE MIFUKO YA SANDALUSI? halafu mleta mada unaleta ushabiki wako wa kishenzi.hivi unajua watoto walizikwa kwa kuwekwa kwenye mifuko ya viroba badala ya sanda? sasa mkuu wako wa wilaya alikuwa wapi hadi mazishi yanafanyika yeye asishiriki hata kutuma mwakilishi?
 
Mmmh mkuu mbona hii habari ilioneshwa na wananchi hadi wa kafunga barabara? Mbona walimuonuonesha mkuu wa wilaya akijitetea na aliyekuwa akimlaumu ni mwenyekiti wa CCM hapo na mkuu wa mkoa aka haidi kuwa suluhishisha?

Mbona wananchi walifunga barabara kwa hiyo kauli? Katika hili unawaonea hao ITV labda kama hukutaka walipoti!
 
Jamani mnaumiza vichwa bure. ITV haijawahi kuajiri waandishi competent. Wote ni makanjanja.
 
Siku zote mtu anayesema ukweli hugeuka kuwa adui kwa upande wa pili, kwa Tanzania hii hakuna kituo bora televisheni kama ITV na ndo maana ikawa inahujumiwa kwenye king'amuzi kimoja, we hebu jiulize ni kwanini signal ziingiliane muda wa jioni? Lingine fanya tathmin ni taarifa ya ya habari ITV ndio inaongozwa kutazamwa na watanzania wengi
 
Sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu Kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa ITV, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya Kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na Maige, unakaa Kahama Motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

ITV tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa CCM mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri Lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa Lowasa.

Mkuu wa Wilaya Kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.Chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.
sell what you think people will like it. Nenda kawaambie TBC1 kusema unachotaka
 
Mkuu Nzega Yetu Kwanza.
Kidogo unitoe machozi.
Bahati tu hatuonani na tuko mbali.
Vinginevyo huyu mleta mada angenifanya niepelekwe lockup.!
MLETA MADA ANALAANA YA MAMA YAKE MZAZI, Kwanza Ajiulize Miili Ya Watoto Watano Ilizikwa Bila Sanda Na Badala Yake Ilivilingishwa Kwenye Mifuko Ya Viroba Ikazikwa Tena Kwenye Kaburi Moja, HV HUYO MKUU WA WILAYA BENSON MPESYA ANGEKUWA ANATHAMINI WANANCHI ALISHINDWA HATA KUWANUNULIA SANDA MAPEMA ACHILIA MBALI KUSHIRIKI MAZISHI HAYO HADI WATOTO WAKAZIKIWA KWENYE MIFUKO YA SANDALUSI? halafu mleta mada unaleta ushabiki wako wa kishenzi.hivi unajua watoto walizikwa kwa kuwekwa kwenye mifuko ya viroba badala ya sanda? sasa mkuu wako wa wilaya alikuwa wapi hadi mazishi yanafanyika yeye asishiriki hata kutuma mwakilishi?
 
Sasa nimejua kwanini hali imekuwa ngumu Kahama, siasa imeingilia na watu wamelipwa kuchafua watu, watu wamekodiwa na kulipwa.

Cosmas mwandishi waabari wa ITV, umekuwa unamwongelea vibaya mkuu wa wilaya ya Kahama. Tunaomba kwanza utupe clip ambayo mkuu wa wilaya kasema kuhusu nyumba za tope.

Tunajua umeletwa na Maige, unakaa Kahama Motel bure,chakula bure na unalipwa kutoa taarifa chafu za mkuu wa wilaya.

ITV tulikuwa tunawaamini lakini mnapotosha jamii. Jamani hili janga ni kubwa tunaomba msilete siasa lakini msaidie watu.

Mwenyekiti wa CCM mkoa kama unautaka ukuu wa wilaya subiri Lowassa awe rais atakupa tunaokujua wewe ni mfuasi wa Lowasa.

Mkuu wa Wilaya Kahama usipoteze muda wako na huyo aliyekuwa mwizi wa kwenye matren.Chapa kazi ukweli na uongo vinaonekana.

Ni kawaida ya ccm kudharau wananchi...
 
MLETA MADA ANALAANA YA MAMA YAKE MZAZI, Kwanza Ajiulize Miili Ya Watoto Watano Ilizikwa Bila Sanda Na Badala Yake Ilivilingishwa Kwenye Mifuko Ya Viroba Ikazikwa Tena Kwenye Kaburi Moja, HV HUYO MKUU WA WILAYA BENSON MPESYA ANGEKUWA ANATHAMINI WANANCHI ALISHINDWA HATA KUWANUNULIA SANDA MAPEMA ACHILIA MBALI KUSHIRIKI MAZISHI HAYO HADI WATOTO WAKAZIKIWA KWENYE MIFUKO YA SANDALUSI? halafu mleta mada unaleta ushabiki wako wa kishenzi.hivi unajua watoto walizikwa kwa kuwekwa kwenye mifuko ya viroba badala ya sanda? sasa mkuu wako wa wilaya alikuwa wapi hadi mazishi yanafanyika yeye asishiriki hata kutuma mwakilishi?

Maamuzi ya kuzika na sandalusi, yalikuwa ya Wananchi au ya serikali? Namaanisha maiti walikuwa mikononi na chini ya uratibu wa serikali? Ksma sivyo mkuu wa Wilaya anaingiaje ktk lawama. Mnajuaje labda ndio mila zao mtu akifa maji ndivyo wanavyozika, maana hata kwetu mtu akifia mtoni tuchimba pembeni mwa mto na kumfukia bila sanda.

Yaani serikali izike maelefu ya vifo vya Mv Bukoba, ishindwe maiti tano za watoto? HATUJIULIZI
 
Na wewe pia acha kutumika kwa kuichafua ITV.

Mbona huisemi ile TV Station nyingine, inayoendeshwa na kodi zetu wananchi wote, bila kujali wewe ni mwanaccm, Chadema, CUF na kadhalika. Lakini siku zote inakuwa biased waziwazi kwa 'kukibeba' chama tawala cha Sisiem?

Buku saba huyo, anatoa povu tu.
 
Back
Top Bottom