Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,479
- 11,671
Ilikuwa na maslahi kwa WAKWAWA na hela ya kufungua tv chanel mlitanua dubai msilaumu wenye tv zao acha utotoUkweli unaujua kuwa habari ya Lema, Mbunge na Waziri Kivuli, ilikuwa na maslahi kwa Waliomchagua na kwa Nchi hasa kwa nafasi yake kama kiongozi. Ila kwa sababu za kisiasa basi wajitoa ufahamu.
Ila wako tayari kurusha habari ya Viongozi wenye vyeti fake.Uundeni TV ya kwenu itakayokuwa inaonyesha wauza unga wakifanya mikutano.
TV za wengine hawako tayari kuharibu brand zao
Kwa hiyo ITV ni Mali ya Chama fulani sio?Ilikuwa na maslahi kwa WAKWAWA na hela ya kufungua tv chanel mlitanua dubai msilaumu wenye tv zao acha utoto
.
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Muda wa kutangaza habari ni lisaa tu na wao walitangaza habari zenye umuhimu tu
Mkuu ITV wako smart, Mengi anausoma upepo na kujiweka sawa.
Habari si siasa tu bali vile vile ni biashara.
Press Media belongs to the press owner! Mengi hakuona Kama inatija. Ndio maana tunawaambia chadema anzisheni TV yenu muache kuwashika watu uchawi!.
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Wakati mwingine ukikaa kimya inasaidia kuto expose umbumbumbu wako! Hata kama una chuki na Lema ile habari ilikuwa ni muhimu sana kwa taifa!Acha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Haikuwa na umuhimu ndo maana haikuonyeshwa. Muhimu zote zilionyeshwa hiyo ndo simple logicWakati mwingine ukikaa kimya inasaidia kuto expose umbumbumbu wako! Hata kama una chuki na Lema ile habari ilikuwa ni muhimu sana kwa taifa!
Hivi wapigakura milioni 6 Urais 2015 Ukawa/Chadema ambao ni sawa na idadi ya wanachama wa CCM Tanzania, sio watazamaji wa kukupa biashara sio?Hilo ndio jibu. ITV ipo kutengeneza faida