Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Wajinga kama ww ndo vipenzi vya sizonje na serekl yakeAcha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Maslahi ya Taifa ni yapi hayo zaidi ya Uhuru na haki ya kupashana habari?Acha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Mkuu ITV wako smart, Mengi anausoma upepo na kujiweka sawa..
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Muda wa kutangaza habari ni lisaa tu na wao walitangaza habari zenye umuhimu tuWajinga kama ww ndo vipenzi vya sizonje na serekl yake
Unataka wakutangazie kila kitu si hiyo habari itachukua 5hrs?Maslahi ya Taifa ni yapi hayo zaidi ya Uhuru na haki ya kupashana habari?
Ukweli unaujua kuwa habari ya Lema, Mbunge na Waziri Kivuli, ilikuwa na maslahi kwa Waliomchagua na kwa Nchi hasa kwa nafasi yake kama kiongozi. Ila kwa sababu za kisiasa basi wajitoa ufahamu.Unataka wakutangazie kila kitu si hiyo habari itachukua 5hrs?