ITV mmenihuzunisha. . .


umelazimishwa kuangalia mbona tv station zipo nyingi tu
 
Jibu lipo hapo mwisho kwasababu mengi alihuzuria
 
Acha kuwa na roho nyeusi namna hiyo. Hata kwa mtu aliyepoteza mzazi wake mnamfanyia hivyo????
mpende msipende Shigongo ni mdau mkubwa kwenye media kwa nini kifo cha mzazi wake kisionyeshwe kwenye ITV???
Mbona huulizi inapofika ITV kuchukua muda kutangaza shughuli ya mazishi ya mwandishi wa habari??????
Roho nyeusi inazaa chuki nayo inazaa kukata tamaa nayo inazaa tabia ya kuona kila aliyefanikiwa ni adui yako na mwisho unakufa kwa frustration.
 
if i am not mistaken shigongo's father was the chairman of global publisher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…