ITV mmenihuzunisha. . .

Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa,
>Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?
>Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?

umelazimishwa kuangalia mbona tv station zipo nyingi tu
 
Jibu lipo hapo mwisho kwasababu mengi alihuzuria
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa,
>Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?
>Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?
 
Acha kuwa na roho nyeusi namna hiyo. Hata kwa mtu aliyepoteza mzazi wake mnamfanyia hivyo????
mpende msipende Shigongo ni mdau mkubwa kwenye media kwa nini kifo cha mzazi wake kisionyeshwe kwenye ITV???
Mbona huulizi inapofika ITV kuchukua muda kutangaza shughuli ya mazishi ya mwandishi wa habari??????
Roho nyeusi inazaa chuki nayo inazaa kukata tamaa nayo inazaa tabia ya kuona kila aliyefanikiwa ni adui yako na mwisho unakufa kwa frustration.
 
mi sijahuzunishwa,na ilo tukio bt nimehuzunishwa na aliyetangulia mbele ya haki.lakni,kama mimi ningekuwa mtoa mada ningeileta ktk logic hii;babake james,alikuwa nani mpaka,mamia, vigogo baadhi,makada wa nyinyiem hata waziri haudhulie lile tukio?nawapongeza viongoz wa parokia wa sehemu husika,wamemtuma katekista.ingawa ametema cheche!rip mareh.
if i am not mistaken shigongo's father was the chairman of global publisher
 
Back
Top Bottom