ITV majadiliano ni moto kuhusu sukari

ITV majadiliano ni moto kuhusu sukari

Huu ni uhalisia sikumbuki mara ya mwisho Kutumia sukari ni lini
Mda mwingi natumia tangawizi na viungo vingine vya chai naifurahia sana chai isiyo na sukari badala yake nimekuwa nikitumia ndizi Kila pale napopata ham ya sukari
Na hauli vyakula vyenye kutiwa sukari? Na vp mafuta ya kupikia nayo unajua kama sumu je huwa hutumii pia?
 
Sukari Tanzania inafanywa kama madawa ya kulevya na wauzaji wana mifumo ile ile tu...Serikali kama inasema kuna uhaba na wakati Zambia,Uganda na Malawi zipo za kuzoa tu si warehouse yeyote mwenye mtaji akachukue alete kuuza kuliko kila mwaka wanatengeneza deal nani apewe kwa kutoa rushwa kubwa kubwa hakuna tatizo la Sukari Tanzania hilo Tatizo linatengenezwa ili wachache wapewe vibali tu...Nakonde tu hapo Sukari bei yake ni ya kuokota..
Kwa sababu watu wana addiction ya sukari

Ova
 
Tatizo la sukari nchi hii ni Bodi ya Sukari. Bodi ya Sukari ifutwe na wafanyabiashara waruhusiwe kuagiza na kuleta sukari.

Pia viwanda vya sukari visiruhusiwe kuagiza sukari kwani vinahusika kupandisha bei.
 
Vinda vinageuka kuwa madalali si ujinga huu..
 
Walaji wa nyama watahamia Iringa
Kumbuka walaji wote wa Ile nyama wakihamia Iringa upatikanaji wake utapungua kwa vile matumizi yatapanda. Na kwa sababu hiyo bei yake nayo itapanda na hivyo kuwafanya walaji kuhamia Mbeya kwenye wale mbuzi kama hawana kikwazo chochote kuhusu ulaji wake.
 
🤣
Demand and supply theory
 
Sukari ni sumu katika mwili wako
Lini waafrika mtajua hili
Anza kunywa chai bila sukari na pia kula vyakula visivyo na sukari
Ndio maana nguvu za kiume zimekuwa mgogoro kwa wanaume na vitambi vimeongezeka kwa wanawake
Utachelewa kujua kuwa wali, ngano na Ugali ndo vibaya zaidi
 
Naona hawa watangazaji wanaoongoza hiki kipindi ni kama kuna maelekezo wamepewa, maana wanakatisha hoja zenye mashiko za wachangiaji... Kiufupi ni team CCM
 
Back
Top Bottom