ITV, maandishi yanaoonekana chini wakati wa taarifa ya habari yanakaa muda mfupi

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Ni mojawapo kati ya tv stesheni ninazopenda kuangalia hasa kwenye taarifa ya habari kwani wako vizuri.

Shida yangu ipo kwenye maandishi yanayopita chini muda wa taarifa ya habari, yanakaa muda mfupi sana, kabla hata hujasoma na kutafakari,yanakuwa yamepotea.

Naomba mnisaidie kwa hilo kwani elimu tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom