ITV Live: Malumbano ya Hoja,kuhusu Bajeti

ITV Live: Malumbano ya Hoja,kuhusu Bajeti

Nasikiliza radio one hapa kwenye trekta langu hapa
 
Kupanda kwa bajeti ya mwaka wa fwdha 2016-2017 ni ukandamizaji wa wananch wa hali ya chini
 
Mkuu,mtoa mada,samahani nimejaribu kukufata inbox,pasipo mafanikio!naomba kuuliza,uko tabora?kama ndio unakifahamu chuo cha ufugaji nyuki tabora?
Mkuu upo tabora unakula asali?
 
Kama ulileta mada humu iLife usikie kile upendacho tuu akheri ungemuita mkeo na wanao halafu mujadiliane badala ya kuendelea kuiharibia jina na kuidhalilisha Jamiiforums
Sasa ukizidisha nawe utakuwa kama huyo unaye mlaumu
 
Yaani ccm kama inawategemea vijana aina ya matefu. Basi ni shida mno kwa mtu ambaye hata hajui kujieleza.
 
Back
Top Bottom