ITV Live: Malumbano ya Hoja,kuhusu Bajeti

ITV Live: Malumbano ya Hoja,kuhusu Bajeti

Shukrani kwa taarifa, ilinipita hiyo.! Kwa hiyo sasa nani yupo kipimajoto?
Mara nyingi sasa hivi anakuwepo jacklin silem ingawa viatu vya masako bado ni vina mpwaya,masako alikuwa mkomavu
 
Nami nipo ndani ya bunsen burner yangu(starlet) nafuatilia kipindi hiki
Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu haina kiyoyozi?umenikumbusha mwalimu wangu wa chemistry olev kaundula
 
Back
Top Bottom