Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,237
- 98,199
Kambaya ni mtangazaji hasiye jiamini kabisa nafikiri ni itikadi imemjaa na hawa bila ya uongozi wa itv bila kuwapa somo watakiharibu hiki kipindiHuyu Kambaya nae, akiponda mtu kuhusu bajeti, yeye anaingilia Kati kumkatisha mchangiaji, ila akichangia anayesifia ,basi hapo sawa