ITV Live: Malumbano ya Hoja,kuhusu Bajeti

ITV Live: Malumbano ya Hoja,kuhusu Bajeti

Mkuu,mtoa mada,samahani nimejaribu kukufata inbox,pasipo mafanikio!naomba kuuliza,uko tabora?kama ndio unakifahamu chuo cha ufugaji nyuki tabora?
 
Huyu Kambaya nae, akiponda mtu kuhusu bajeti, yeye anaingilia Kati kumkatisha mchangiaji, ila akichangia anayesifia ,basi hapo sawa
 
Huyu Kambaya nae, akiponda mtu kuhusu bajeti, yeye anaingilia Kati kumkatisha mchangiaji, ila akichangia anayesifia ,basi hapo sawa
Tatizo watu wamekuwa wanasiasa everywhere hata kwenye mambo yasiyohitaji mihemko wala kicks. ...
 
Mmenikatisha tamaa ya kwenda kuangalia bora nilale zangu
 
Back
Top Bottom