Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,641
- 140,184
huyu mseja naye tumemchoka
Safi sana professor lipumba kikwete ni janga kubwa la taifa
Ukawa ndio habari ya TanzaniaLipumba ana stress, uchaguzi unakaribia na anajua hawezi kushika hata nafasi ya tatu
HAta akishika namba zero ndio adumae kama mlivyodumazwa na fikra za matapeli ,hamuwezi hata kwenda chooni na mkpelekwa hamuwezi hata kuchamba lazima mchambishwe ,wacha Lipumba awachambishe na kuwasugua hadi msafike.Lipumba ana stress, uchaguzi unakaribia na anajua hawezi kushika hata nafasi ya tatu
huyu mseja naye tumemchoka
Kila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa
Mkuu, kosa mhudumu ni lipi, LIPUMBA siyo mseja?jinga wewe
Lipumba ametia shaka kuwa inawezekana rais kapata woga kwa kauli ya Muhongo kuwa nchi itatikisika'Kikwete si rais wa kuaminika'...by Lissu...kuna uwezekano JK naye alichukua fedha za escrow kwenye rumbesa pale stanbic...
Lipumba ndiye msanii wa kufa, anakwenda kuomba kura msikitini.amesema rais ni fully msanii...nchi hii hatuna rais tuna mbongo flavor hata wenzetu wanatushangaaa....
Ulitaka aondoke na saburi lako ?Kila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.
Umemchoka kivip? Unamfaham au unamsikia?huyu mseja naye tumemchoka
ulitaka tukuabudu wewe Ajuza ?Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau.
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.