Wadau anayejua tujulishana,toka jana jioni station za ITV,EATV na CAPITAL hazipatikani kwenye dish kuna shida gani? Anayejua asifanye choyo atujulisha tafadhali.
mkuu mbona tangu jana na leo asubuhi habari nimetazama kama kawaida???,may be labda kwa vile dish langu ni la ft 8. yawezekana signal yao imeshuka mkuu si unajua chanel zetu za kibongo?