ITV kwa hakika mnaitendea haki nchi

ITV kwa hakika mnaitendea haki nchi

ITV sio television huru siku hizi kama ilivyokuwa zamani. Nafasi yao sasa imechukuliwa na Azam Tv
Azam pia huchambua kwa kina habari za serikali na sio upinzani...japo wanajitahidi kuhabarisha mambo ya upinzani kwa ufupi..wanajitahidi ukilinganisha na wengine kama TBC na star.
 
Ndio taarifa ya habari pekee nayoangaliaga..labda na azam siku moja moja
 
Habari zote zilizo na weredi-ITV.

Habari zote zilizo na maslahi ya nchi-ITV.

Habari zote zilizo na utashi na hamasa ktk nia njema kwa taifa-ITV.

ITV ninyi ni zaidi ya chombo cha habari!Ukiangalia kwa habari zenu za wakati huu hakika ninyi mwastahili tunzo ya kiwango cha juu!

Na Mungu awabariki sana!
Nini kinawafanya wasirushe habari za kimataifa na badala yake wanarusha za hapa Africa Mashariki tu??
 
Itv watu wanapnekana wanawaka waka...Sjui mnawapakaga mafuta......au ndo usupa brandi
 
Wanajitahidi ISIPOKUWA
1 . Hawana habari za kimataifa kila siku Congo kampala kenya it's boring issues hot internationally wanaziacha eg uchaguzi Liberia,US/Russia Politics, Brexit etc
2. Habari za michezo bado sana bora tv1 au channel 10 sports inter hakuna local wanakava vimichezo vya ajabuajabu! bure kabisa
3. Some of their presenters hawako competent kuwa News Presenters eg Mahela na Jackline Mahela ana shida kubwa ya matamshi ya kiswahili mfano hajui wapi H inakaa hapana anaita apana...
4. Rationale yao kwa local news nawapa [emoji106] ila huko juu [emoji107]warekebishe
 
Habari zao za michezo ni mbovu kabisa kwani huonyesha yale mamichezo ya watu wanaobeba mabegi makubwa huko gymkana club
 
Back
Top Bottom