AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Goodmorning Makamanda!
Kuanzia majira ya saa 10:30 jioni kituo cha Taifa cha ITV kitarusha live mkutano mkubwa wa CHADEMA utakofanyika kawe.
Viongozi mbalimbali wa kitaifa watakuwepo, Kamanda wa Anga Freeman Mbowe, Dr. Slaa, Halima Mdeee pamoja viongozi wengine wakuu wa chama.
Ukipata taarifa hii usisite kumjulisha na mwenzako.