C CalvinPower JF-Expert Member Nov 25, 2008 1,574 885 Oct 31, 2010 #1 ITV kwanini wanaonyesha malalamiko au kasoro za uchaguzi mujini dar tu. Why not mikoa mingine japo vituo kumi tu kila mkoa.
ITV kwanini wanaonyesha malalamiko au kasoro za uchaguzi mujini dar tu. Why not mikoa mingine japo vituo kumi tu kila mkoa.
The Dreamer JF-Expert Member Feb 2, 2009 1,282 20 Oct 31, 2010 #2 CCM wanao wengine wengi uhuru, daily news, TBC1, StarTV, clouds, Channel Ten.....list ni ndefu na wote ni mafisadi
CCM wanao wengine wengi uhuru, daily news, TBC1, StarTV, clouds, Channel Ten.....list ni ndefu na wote ni mafisadi