Itv issue

Itv issue

Kwa sisi ambao ni wajasilia mali tuliojari watu kadhaa tunajua jinsi game hii ya bishara ilivyo tight, ushindani umekuwa mkuubwa sana na ghrama za uendeshaji ziko juu so sishangai kama wanalipwa kwa day baadhi ya idara.
 
Sidhani kama watakuwa wote, ila kama ni baadhi hili sio jambo la ajabu.., na uzuri wa kuwa freelancer hukatazwi kupeleka habari zako sehemu nyingine, cha maana ni kuangalia kiasi wanacholipwa kwa hizo habari, vilevile maadam hawalazimishwi kwa anayeona huu mpangilio haufai anaweza akaondoka (biashara ya media sio lele mama ushindani ni mkubwa sana)
 
Hello jf members! jamani eeh naomba nieleweshwe juu ya hii tetesi ninayosikia bot ITV, nasikia waandishi wake wa habari hawalipwi mshahara wa kila mwezi. waandishi wanalipwa kwa siku tena kama mtu amepata habari na kupeleka; je tetesihizi zina ukweli wowote?
Doreen,
Kwanza karibu jf!.
Pili japo mimi sio mtu wa ITV, lakini nayajua mambo ya ITV A-Z kwa sababu mimi ni mdau wao!.
Hilo la kuwa hawalipwi mishahara sio kweli, Wafanyakazi wa ITV ndi miongoni wa wanahabari wanaolipwa mishahara minono ndio maana wametulia kazini kwa muda mrefu!.

Ila pia wapo waandishi/watangazi ambao wako field, hawa sio waajiriwa bali hupewa posho tuu ya chakula na usafiri!. Pia wapo waandishi/watangazaji ambao huitwa "correspondence" na "freelance" journalists ambao hao sio waajiriwa, bali hujitolea na hulipwa "per stories". Na kundi la mwisho ni "independent" journalist, hawa hufanya kazi kwa kujitolea tuu "just for the love of it", hawa hawalipwi chochote na hufanya kazi ya uandishi kwa kujitolea tuu kwa mapenzi yao!.

Mimi "Pasco wa jf", ni miongoni mwa waandishi hawa wa kujitolea, tunaifanya kazi ya uandishi/utangazaji kwa kuipenda tuu (just for the love of it) na hatulipwi chochote na vyombo vya habari!.

Pasco wa jf (mwandishi wa kujitolea).
 
kuna ukwel asilimia mia awalipwi wana taabu sana huo ni kweli na uko wazi
 
Ninavyofahamu mimi mfanyakazi wa chini kama massenger pale ITV analipwa mshahara wa laki 4
 
Back
Top Bottom