mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 182
This is clear now nafikiri hata tcra wanajua ila kwa sababu pia ni shm ya tbc.
Poor signal wakati tbc na zingine ziko sawa
Poor signal wakati tbc na zingine ziko sawa
Mkuu, mbona jambo hilo liko wazi. Toka mwanzo tulipoingia kwenye kuanza kutumia visimbizi ITV ilikuwa haipatikani. Baadaye ikawa inapatikana nyakati nyakati lakini inakatakata. CHADEMA walipotoa tamko lao la kuwata watu wasusie TBC utafikiri StarTime ndiyo wameambiwa washughulikieni ITV. Juzijuzi CHADEMA waliporudia mwito wao wa kuwataka watanzania waisusie TBC, ITV ndiyo inahujumiwa sana. Nimewahi kuwapigia simu StarTimes kuhusu kutoipata ITV wanamajibu ya ajabu ajabu na longolongo fulani. wakasema watawasiliana na technical person wao aje kwangu nikakubaliana na; lakini utekelezaji wake ni kama kumwona tembo mweupe hadi leo. Ila kitu cha ajabu ni hiki, nilimwambia hata mchukua picha za video wakiwa na mtangazaji wakati wanawahoji watu kupata maoni yao kuhusu wali la KIPIMAJOTO, kuwa wanajua kwamba StartTimes wanawahujumu sana? Hawa kuwa na majibu ya maana seems hawajui. Nikwawaeleza kile kinachotokea kwetu, nikapata support ya bwana mwingine nay kwao they do experience the same. Nikawaambia wakawajulishe wakuu wao ikibidi hata kuwashitaki maana hizo ni hujuma za wazi katika biashara. Cha ajabu hadi sasa ITV kimyaaa.This is clear now nafikiri hata tcra wanajua ila kwa sababu pia ni shm ya tbc. Poor signal wakati tbc na zingine ziko sawa
This is clear now nafikiri hata tcra wanajua ila kwa sababu pia ni shm ya tbc.
Poor signal wakati tbc na zingine ziko sawa
Sitaki kuamini kwamba, hii inaweza ikawa hujuma....itakuwa mbaya sana kama itakuwa hivyo....
Ila nakubaliana kwa issue ya ITV kukatika katika wakati nyingine zipo poa kabisa !....Ijumaa juzi nimepata taabu sana kuangalia kipindi cha kipima joto....
Nafikiri ni wao wenyewe ITV pia wana uzembe wa aina fulani. Sidhani Kama hawafahamu matatizo ya matangazo Yao kukatika katika kwenye startimes. Hakika inakera na ni kwa nini ni mbaya zaidi kwenye taarifa ya habari?Sitaki kuamini kwamba, hii inaweza ikawa hujuma....itakuwa mbaya sana kama itakuwa hivyo....
Ila nakubaliana kwa issue ya ITV kukatika katika wakati nyingine zipo poa kabisa !....Ijumaa juzi nimepata taabu sana kuangalia kipindi cha kipima joto....
Nenda continental, startimes inapewa amri kutoka kwa wazir anayeongea na mwenye mbwaKweli. Natumia decoder ya startimes. Zaidi ya wiki sasa itv kwangu chenga na scratch kibao. Chanel nyingine zote ziko poa. Hii nahisi ni hujuma!