ITV hapa mlikuwa na maana gani?

haahahaha!! wamechanganyikiwa!
 
Hapana ni maandishi ya kufundisha watu ukweli.....unatakiwa usome katikati ya mistari
 
wameandika kimasai hao chezea Lowasa wewe
 
Ndo kawaida yao. Mi hua nafurai sn nnapoona document ya serikal ina typing error. Nshakutana na typing error kweny sylabus, kariba pendekezwa, standing order e.t.c
 
Nahisi huwa hawako makini sana huwa wanakosea mara kwa mara
 
Ndo kawaida yao. Mi hua nafurai sn nnapoona document ya serikal ina typing error. Nshakutana na typing error kweny sylabus, kariba pendekezwa, standing order e.t.c

hahaha na wewe umechapia hapo kwenye kariba ulimaanisha katiba
 
Ndo kawaida yao. Mi hua nafurai sn nnapoona document ya serikal ina typing error. Nshakutana na typing error kweny sylabus, kariba pendekezwa, standing order e.t.c

Nafurahi na si nafurai usitoe kibanzi kwa mtu ili hali una boriti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…