ITV, Habari ya mama aliyetupa kichanga.

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
3,952
Reaction score
7,524
Ni habari iliyoonyeshwa dakika chache zilizopita kuhusu dada aliyejifungua jana na kisha kumtupa mtoto chooni huko kibaha. Dada anaitwa Sada Rajabu, jamani sada kulikoni? Mungu ni mwema mtoto ameokolewa na ni mzima.
 
Hawa watu sasa watungiwe sheria itakayo wabana tena sana..2mechoka na huu upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…