You asked, I answered.
Kule kwetu Uswahilini TMI isiyokuwa na chanzo maalum kama suali huwa inaitwa 'hashuo'...unahabari hiyo? @Ngabu
Hashuo niijuayo miye tofauti basi...
Itakuwa. Sie Waswahili tukiona mtu kaja na info za kitandani kwake bila ya sababu za mzingi tunasema "ana hashukwa" au "anajihashua"
Ikimaanisha anahashukwa apate attention,
Hakika hashuo uijuayo weye na ile tuiitayo hashuo kule kwetu Mwembe Ladu ni tofauti kabisa! Mambo ya lahaja hayo.
At least leo you will be smiling all day. Sijasahau ile kesi yangu na wewe wifi,nitajileta tumalizane soon. Msalimie glory-giver,lol