Its your chance...

hahahahahyouareoneofakindffbutumadeitsuchahardtaskreadingyourpost.
 
Nampenda sana MMM..as a brother!!..

Whats the difference ya kumpenda mtu ki-brother na ki-lover?? kwakuwa huyu(lover) mnashirikiana kitu fulani na brother ni taboo?? Mi sielewagi kweli....!
 
Whats the difference ya kumpenda mtu ki-brother na ki-lover?? kwakuwa huyu(lover) mnashirikiana kitu fulani na brother ni taboo?? Mi sielewagi kweli....!

Hilo ni moja wapo na mengi tu. Kaka ni kama ndugu pia rafiki (i.e. agape love)
 
Hilo ni moja wapo na mengi tu. Kaka ni kama ndugu pia rafiki (i.e. agape love)

sio kwamba hata hao wapenzi (wasio brothers) tunawapenda ki-agape love ila tu kuna kuwa na connection za kimwili, hayo mengine mengi ni yapi Belinda??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…