mbona unaongea kwa kunong'öna?unamuogopa nani?
Ushaanza kulihisi joto langu kwa njia ya "Mnunurisho".khaaaa,nimepata usingizi ghafla
Namuogopa huyo alokumbatiwa SL, asijenitoa roho bure.. Labda mwambie Erickb52 aweza nisaidia nilisikia anatafuta houseboy.
Ushaanza kulihisi joto langu kwa njia ya "Mnunurisho".
pole kaba,amka unywe kahawa bila kusahau lile zoezi letu
@Kabakabana uwe unakunywa chai kabla ya kulala[/QUOT
kwenda haja sasa ndo tatizo jingine
Preta na Kabakabana mnalalamika bariiiidi ni juu ya nini?
hivi hamna watu wa kuwatoa baridi?
Ni nini kujilaza peke yenu kha....nyie mabinti
watu wapo....lakini baridi si usiku tu FirstLady1.......hata mchana ngoma inabana....
hehe remmy mdogo wangu,utakula wa chuya uvivu wa kupembua.