Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
vipo pale friends corner.....na utapendeza zaidi ukipata na farasi....ila sasa pale farasi hawauzwi....
anapiga mkuyyat asje akachemsha kabla hafu timenamsubiria huyo felo lawyer,am damn siriaz
Nimegoma kutoka, fidia eti tsh 20,000 nitapata wapi pa kukaa miye.
haya farasi anauzwa wapi?
anapiga mkuyyat asje akachemsha kabla hafu time
huyo mpaka Usa River.....ngoja nikutumie kontakti.....
Ndo naona hata font yako inaonesha unaandika mikono inatetemeka. Sasa tukileta lugha ya picha, umevalia nini apo mheshimiwa Preta ?hivi umeiona hii hali....? hakuna mtu anacheza mbali na ngome sasa hivi....
Kaba,umenionea Lizzy huko mitaani leo?
leo vimwana vya arusha vinapatikana kiulainiiiiiiiiiiiii
chezeya baridi wewe...
klorokwini waite Asprini na Bishanga, bahati haiji mara mbili.......
khaaa,utafia kwenye mafuriko wewe.Ngoja niongee na wifi SL ana vijisehemu angalau akusitiri.
Bora ufanye hivyo maana nimezidiwa....na hii mvua iliyonyesha leo hata hakupitiki.
Usihofu mimi nakutakia yote yaliyo ya kheri, mimi nipo hapa kwa Babu. Upo maeneo gani nikuibukie ili tuweze kuishinda hii hali ya hewa ya Siberia ilohamia Arachuga!.Mpaka sasa sijapata hata PM moja,kweli nimeamini watu hawanitakii mema
nampigia hapokei itakuwa kakumbatiwa sasa hivi,ntamwambia kesho
Usihofu mimi nakutakia yote yaliyo ya kheri, mimi nipo hapa kwa Babu. Upo maeneo gani nikuibukie ili tuweze kuishinda hii hali ya hewa ya Siberia ilohamia Arachuga!.
Hapo siingilii, mnajuana wenyewe....ila usisahau kesho naangamia mie.
Huku kwa Babu wanga wengi, sitaki ulioge baridi huko nje. Ntakufata popote ulipo.kwa babu ndo karibu na wapi vile??nielekeze nije
Huku kwa Babu wanga wengi, sitaki ulioge baridi huko nje. Ntakufata popote ulipo.