Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
khaa....nilijua naumwa.....kama leo ilikuwa hatari kabisa.....hv ni nini lakini.....
hv ni nini lakini.....
Kikwete aliahidi Bongo itakuwa kama Russia sasa ndio ameanza kuleta baridi Arusha.
Uko wapi kabakabana, tusije kupm hafu ikawa soo.
Kikwete aliahidi Bongo itakuwa kama Russia sasa ndio ameanza kuleta baridi Arusha.
niko washington ndogo,na wewe?
Yani heri nyie..mimi nipo Dar ila baridi nnayosikia acha tu...kweli malaria mbaya.
swity, yaani hata hauumwi mpenzi! Kuna baridi kali mbaya kabisa,nimevaa sweta,koti na nimejifunika blanketi lakini bado.
Khaaaa...mi niko kishumundu, basi nimekukosa.
Kikwete aliahidi Bongo itakuwa kama Russia sasa ndio ameanza kuleta baridi Arusha.
kuna viatu aina ya boots naona kila mdada amevaa town.....naomba uvitafute uvae na gloves....tusije tukakukosa.....
ha!!....kama my mtu chake angekuwa hayupo mi si ningeganda.....
aiseee hata hautanii,ngoja nivae soksi kwanza maana kama nimewekewa ganzi vile.,vinauzwa wapi?nielekeze!
Nikajua ungeniPM spare tyre wa JF kama mtu chake hayupo
hivi hujahama tu huko?mafuriko hayakukuta?
Nikajua ungeniPM spare tyre wa JF kama mtu chake hayupo