It's the freaking weekend, im about to have some fun

Utawajua tu.. kitanda kinamajibu yote!!
Wivu nilionao natamani hata nikumeze wasikuone,wasikusikie Bali nikufaidi Mimi tu! Uwe Mimi niwe wewe tuwe sie wawili tu!

Aahahahahahhaaaa majibu ya kitandani ni hatari zaidi ya Matata ya Kasie eehehehehee
Sawa baba, hakuna wa kupinga neno lako...
 
😂 ni mzee kijana mwenzio,kasinde we pia umri wako sio wa mchezo

Akchuaree, tumezaliwa tarehe na mwezi mmoja na Robert Kelly, ndio siri ya kumpenda na kupenda nyimbo zake...

We all have beep beep and share the toot toot....
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hipi hiyo???

Kasie matata

Huyo Nkundwe huyo (wa kwenye historia) tukiwa darasa la saba alipigana na Richie kwa ajili yangu, Nkundwe akaibuka kidedea akaja hadi nyumbani kwetu..... Isingekuwa busara za mama kumtuliza kisaikolojia leo historia ingekuwa ingine. Nkundwe alikuwa mtoto wa familia bora na mtoto wa pekee alilelewa kupewa na wazazi wake kile atakacho na alijengewa kujiamini mnoo.

Nimejaribu kufupisha mnoo nikiendelea ntajikuta namwaga mchele.
 
Nkundwe hakika alitisha kabisa yuko wapi siku hizi?? Alifanikiwa kukupata lakini??
 
Aahahahaaa hapana darasa la saba nilikuwa mdogo sanaa. Hata sijui yuko wapi kwa sasa wakati ule baba yake alikuwa kiongozi serikalini hivyo sekondari na kuendelea alisoma ughaibuni.... Sikuonana nae tena tangu hapo.

Mama nae alinipiga bitii, ole wako aje mvulana mwingine hapa nyumbani nakukata masikio na ntamwambia baba yako, unajua alivyo mkali.

Toka hapo nikawa nawakwepa sana wavulana.
 
Basi huyo Nkundwe ndo mimi mwenyewe saivi nipo naishi Canada [emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe Kasie na wewe wa kisure kitambo

Kasie Matata
 
Aahahahahahaa Nkundwe wewe, ulikuwa na rafiki yako Emmanuel M. ila yeye aliwahi kuhamia ughaibuni akiwa darasa la tano....

Kuna Nkundwe mwingine ni Dr. ..... huyu sikusoma nae.....
 
Back
Top Bottom