It's the freaking weekend, im about to have some fun

Aahahahahahhaaaa wee double R weeweee....

Nimekumisi midlif krisis mwenzangu, kwemaa.

Nna kiwi na mabungo naweza yapata wapi usiku huu tafadhali...??
Njoo geto nina mabungo mawili hayajaliwa siku nyingi
 
Kasie tuwekee na sie bas wa kiswahili mahaba ya kiingereza wengne tafsiri habaaa

It's the remix to "Ignition"
Hot and fresh out the kitchen
I am rollin' ma' body
Got every man in here wishin'
Sippin' on Coke and rum
You're like, "So what? I'm drunk"
It's the freakin' weekend
Baby, let's have some fun.....
 
Kasie tuwekee na sie bas wa kiswahili mahaba ya kiingereza wengne tafsiri habaaa

Jamani mapenzii yanaaa nitatizaa eeeh
Jamani mapenzi yanaaa nitatiza eeehhh

Kukata simu sitaki
Kuagana sitaki
Sauti na kumbato ni vitamu, najikuta nasikia wivuuu...

Mahaba Matata.
 
Njoo geto nina mabungo mawili hayajaliwa siku nyingi

Aahahahahahaaa double R looh...

If at all you mean what I read and understand looh....

Haina shida naja fastaa, mradi tuu ile pilipili ya unga isikosekane...

Mate yamenijaa mdomoni ujue.... Nimekuwa domo zege ghafla Aahahahahaa
 
Aahahahahaaa Kenzy, mie siwajaui .....
Utawajua tu.. kitanda kinamajibu yote!!
Wivu nilionao natamani hata nikumeze wasikuone,wasikusikie Bali nikufaidi Mimi tu! Uwe Mimi niwe wewe tuwe sie wawili tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom