Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Kwa maelezo haya Kasie unautaka uzee kwa nguvuuuuu, kwanini lakini? Inawezekana kabisa Manengelo yupo sahihi kuwa wewe bado ni kijana mwenzetu tu! Hahaha
Bila shaka km mdogo wako nikimfahamu😉Pasi shaka nimzifikisha Yna, nae atapita hapa punde atazisoma.
Kwa maelezo haya Kasie unautaka uzee kwa nguvuuuuu, kwanini lakini? Inawezekana kabisa Manengelo yupo sahihi kuwa wewe bado ni kijana mwenzetu tu! Hahaha
Aahahahahaa usimuamini Maneee, anataka kunipigia chepuo Captain aone kaopoa dogododgo kumbee kigagulaa ahahahahaaaa
Wewe niamini mimi, siutafuti uzee kwanguvu bali ndio uhalisia. Unafikiri siupendi ujana? Ila ndo hivyo wakati wangu ushapitaa sema Mahaba ndo nimegandana nayo kama luba maana ndo yananiweka mjini.
Utaambiwa unadanga😅shauri zako sisy!maana humu sasa hv ni ⚡🔥🔥🔥(ulivyosema mahaba yanakuweka mjini)
Ukiwa karibu na waridi unanukia, si tu utanukia kula bata la kimataifa bali hata knowledge ya mahaba yake utainukia tuuuuMie labda anifundishe tu kula bata la kimataifa[emoji28]!mahaba mm siyataki kbs!..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sio mbibi huyo anakuzengua tu!ni mdada..hata madam ritha mkubwa sana kwake!
Aaah, homa tu!! Old granny yupo atakuja kuuguza mjukuu! au wewe ni bibi usiyejari wajukuu?Ford Ranger, nimekupata... ila uwe makini maana joto likizidi utaoata homa aahahahahaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Utaambiwa unadanga[emoji28]shauri zako sisy!maana humu sasa hv ni [emoji298][emoji91][emoji91][emoji91](ulivyosema mahaba yanakuweka mjini)
Basi mahaba yako ni yale ya teketeke kabisaaa!! Mpaka huna time na wajukuu zako watakao kuwa wana homa? Utakuta maiti.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kasie yuko dam dam na Captain, Captain na Kasie daima dumu...
Wengine ni hi and bye tooshaaa
Basi mahaba yako ni yale ya teketeke kabisaaa!! Mpaka huna time na wajukuu zako watakao kuwa wana homa? Utakuta maiti.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wajukuu nawapokea kucheza nao na kuwasimulia hadithi, malezi na wakiumwa wazazi wao watawajibika...