Its the beginning of love between C and K

Yani hata mimi nawaza sana naona kuna watu wanafaidi watu hapa duniani.

Wait, ngoja nikuulize swali, ukiona kuwa kuna watu wanafaidi kwa mtu mwingine, je. kuna watu wanafaidi kwako? au wewe unafaidi kwa nani?

Maisha ni mzunguko, leo kwangu kesho kwako....

Kama hujawahi kufaidi kabisa maishani mwako, amini iko siku utafaidi tuu.
 
Hiyo mistari ya mwisho imenipa relief "Kama hujawahi kufaidi kabisa maishani mwako, amini ipo siku utafaidi tuu" Thank you K Matata.
 
Hahahahah hii avatar ina malengo maalum [emoji28]ya masuala fulani

Ile watu walikuwa wanatishika [emoji12]

Sasa kama sio C FOr Curtis umesema Captain [emoji44]basi atakuwa yule mjeda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahahahhahaa Mazigazi sio bure unalengo la kunichokoza tuu....

Captaion is Nahodha and not anyone else aahahahhaa

Hayo masuala yako flani ya kubadili avatr nayafatilia kwa ukaribu, natumai hayana madhara kwa jamii...
 
🤔🤔🤔!kwamba!hhaahah...!naheshimi mawazo yako sisy..mie ni nan had niumie kiachana na kaka yangu😄!salimia shemegi!
 
Ha ha ha ha ha ha we ni chizi sana Captain ni Nahodha Mdogo wangu (Kama ni wa Meli)
Ahaa kumbe, kwa hiyo baharia kwa kikristo anaitwaje? Halafu hiyo mdogo wangu inatoka wapi? Kwani unataka kuninyima nini?
 
Ahahahhahaa Mazigazi sio bure unalengo la kunichokoza tuu....

Captaion is Nahodha and not anyone else aahahahhaa

Hayo masuala yako flani ya kubadili avatr nayafatilia kwa ukaribu, natumai hayana madhara kwa jamii...
Hahahah enjoy mahabat .

Toto la kinyamwezi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…