Its Only Love, I did All This for Love...

Mtata sana wew Kiasal daaaah!!
 


Loooh, hufai wewe unataka kunipigisha karate usawa huu, hali ya hewa yenyewe haileweki ni masika au kiangazi maana vyote vimo kwa wakati mmoja, joto na mvua....katikati yao kuna kaubaridi kodoogoo.....

Kasie Kasiba.
 
Eeheheheheee ngoja nimpigie shangazi wa Uyui aniandalie nsansa na nswalu. Nikizipata ntapika nikukaribishe jikoni kwa Kasie.

K' Mahaba Matata.
Itakuwa more than a pleasure to mimi [emoji4][emoji4]
 


Nakuvulia boxer kwa mapishi bibie. Ukitaka kuniteka utanikamatia kwenye mapishi yako tu.

Nimemheshimu sana hiyo mume mwenzangu kwa kuwa anajali chakula cha nyumbani.

Some men angekwambia jiandae twende outing while cha nyumbani ni yummy always.

Keep it on baby
 


Aahahahahhaaa kiukweli namshukuru Maulana kati ya nilivyorithi kutoka kwa mama, magical hands ni kimoja wapo.

Mie mwenyewe napenda kula na kuandaa chakula kitamu ni hulka yangu, japo si muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…