umeshikamana na sufuria,ukiwa umeiva vizuri huwa haushikamani na sufuriaKisa...!!???
umeshikamana na sufuria,ukiwa umeiva vizuri huwa haushikamani na sufuria
Nilishaga kutongoza ila hutaki kilichobaki imebaki nafasi ya kuumiza mtima wangu! Napenda kula tena hilo mboga la kwanza duh!😜Kunjaanii,
Time flies and days are numbered like ages...
Keeping in mind this year we have an election as a country, by blinking of na eye you'll be suprised October have arrived.
Leave the salutation apart, back to the topic.... Love... Only Love drives Kasie to be Mahaba Lady....
Basi bwana mwezi wa malavidavi ndo huu, huku na kule kilongalonga kinaita... Kasiba where you at...!!?? (Puzzled and think what to say..)
I say home, then he said, am coming home Baby Kasiba... Please prepare me some delicious African food, I won't eat anything onboard waiting to taste your magical hands.....
Aahahahahahhaaa ananiudhigi but he knows where the buttons are, he knows the right time to press those buttons and I found myself melting in love.... It's only love that can do....nothing else I said to him than three words.....I Love You...!!
Ghafla mtandao ukakata, mtoto wa kike nikaingia bafuni nikaoga nikaenda sokoni. Niliporudi nikaingia tena bafuni nikaondoa jasho la sokoni kisha nikaingia jikoni, akili inaniambia chakula kitamu cha kinyumbani....
Huku na kule hapa na pale nikaivisha msosi wa kwanza, simple but tasty...
View attachment 1351382
View attachment 1351385
Nikakitizama chakula mahaba yakaniongezeka, nikafungua friji nikaanza fujo upya aahahahahaa
Ile kuambiwa nna magical hands bichwa likawa kuubwaa kama nanilii aahahahahaahaa.
Basi bwana, baada ya kupiga round kadhaa pale jikoni mambo yakawa hivii....
View attachment 1351386
View attachment 1351387
View attachment 1351388
View attachment 1351389
Mzuzuu, so yummy...
At the airport I raise my hand to shake with his, he just say come on hug me, aren't you missing me......
I just stay calm smiling and flow wherever he takes me....
Kwa yeye kuwa mfalme nimekuwa malkia, malkia mwenye mahaba Matata....
I did all this for Love, my love to him... Only Love...
To him, I can't say no, Karibu sana nyumbani Mahabuba.
Mmmuaah!!.
Alnuru kwenu nyote.
Kasie na mahaba yake..😍😍😍...
Wivu umenipata , kiroho chaniuma hapa
Weeh mie mnyamwezi, nasonga ugali Wa mahindi yaliyochanganywa na karanga, maji ya kupikia ugali nayakotoga na asali.
Muonekano wa huo ugali hauwezi kufanana na ugali unaosongwa huku duniani wa maji na unga wa mahindi tuu.....
Hapo umeiva sawiaaa tena mtamuuu....
Kasie Foodie Artist.
Dah! Nyie ndio huwa hata maji ya kuoga sio mnachemsha Bali mnapika!!😂Weeh mie mnyamwezi, nasonga ugali Wa mahindi yaliyochanganywa na karanga, maji ya kupikia ugali nayakotoga na asali.
Muonekano wa huo ugali hauwezi kufanana na ugali unaosongwa huku duniani wa maji na unga wa mahindi tuu.....
Hapo umeiva sawiaaa tena mtamuuu....
Kasie Foodie Artist.
Kunjaanii,
Time flies and days are numbered like ages...
Keeping in mind this year we have an election as a country, by blinking of na eye you'll be suprised October have arrived.
Leave the salutation apart, back to the topic.... Love... Only Love drives Kasie to be Mahaba Lady....
Basi bwana mwezi wa malavidavi ndo huu, huku na kule kilongalonga kinaita... Kasiba where you at...!!?? (Puzzled and think what to say..)
I say home, then he said, am coming home Baby Kasiba... Please prepare me some delicious African food, I won't eat anything onboard waiting to taste your magical hands.....
Aahahahahahhaaa ananiudhigi but he knows where the buttons are, he knows the right time to press those buttons and I found myself melting in love.... It's only love that can do....nothing else I said to him than three words.....I Love You...!!
Ghafla mtandao ukakata, mtoto wa kike nikaingia bafuni nikaoga nikaenda sokoni. Niliporudi nikaingia tena bafuni nikaondoa jasho la sokoni kisha nikaingia jikoni, akili inaniambia chakula kitamu cha kinyumbani....
Huku na kule hapa na pale nikaivisha msosi wa kwanza, simple but tasty...
View attachment 1351382
View attachment 1351385
Nikakitizama chakula mahaba yakaniongezeka, nikafungua friji nikaanza fujo upya aahahahahaa
Ile kuambiwa nna magical hands bichwa likawa kuubwaa kama nanilii aahahahahaahaa.
Basi bwana, baada ya kupiga round kadhaa pale jikoni mambo yakawa hivii....
View attachment 1351386
View attachment 1351387
View attachment 1351388
View attachment 1351389
Mzuzuu, so yummy...
At the airport I raise my hand to shake with his, he just say come on hug me, aren't you missing me......
I just stay calm smiling and flow wherever he takes me....
Kwa yeye kuwa mfalme nimekuwa malkia, malkia mwenye mahaba Matata....
I did all this for Love, my love to him... Only Love...
To him, I can't say no, Karibu sana nyumbani Mahabuba.
Mmmuaah!!.
Alnuru kwenu nyote.
Utamu wako hauwezi kuisha kirahis hivyo bana hata hivyo ng'ombe hazeeki mainiAahahahahahaa unanionea Kunta...
Naanzaje kukuacha kwenye mataa wakati nimejaa tele humu kama pishi la mchele?
Aahahaaahahahahahaa Part 3 looh majaribu haya hakyanani...
Mie sio sugars banaa mie ni kizee tuu, utamu kwishney..
Itabidi hiyo part 3 nikusimulie ana kwa ana, fanya hima.
Nilishaga kutongoza ila hutaki kilichobaki imebaki nafasi ya kuumiza mtima wangu! Napenda kula tena hilo mboga la kwanza duh!😜
Wewe mbibi ntakuendea kwa mshana inaitwa funga kazi afe punda lkn lazima ubwebwe!
Haiwezekani nikose yote uliyonayo! Nikikupata hutakula mbatata,ntakufanya pakacha
Kwa miondoko swadakta!
Ukilia nywii nakujaza ndwii!!
Nilitaka kushangaa mnyamwise gani hutumii karanga 😊😊😊
siku ukipika nsansa unikaribishe lakini
Utamu wako hauwezi kuisha kirahis hivyo bana hata hivyo ng'ombe hazeeki maini
Itakuwa poa sana ikiwa ana kwa ana fanya iwe hata kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameeeeen!Hilo limepita, maana iliandikwa kila aombae, hupokea...
Venue...
Ameeeeen!
Halleluyah!
Sitokuangusha mrembo Kasie matata
Nitaku_PM location
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaiweza miondoko yangu wewe..?Aahahahahahaahahahahahaaa Kenzy......
Umenichekesha ujue.....
Ati Mshana Jr utashiriki hiyo hatua ili nibebwe na Kenzy....!!???
Fanya hivi, andaa mazagazaga ambayo unahamu ya kuyachakata siku hiyo, kisha mapema bin asubuhi mie kafika eneo la tukio nakuandalia mlo kamili uupendao. Ila tuu nachelea kusema kama kulishwa itakuwepo...
Hapo tena ukisema sitaki utakuwa umenionea....
K' Mahaba.
OooooopssssssSSSSSSS$$$$$$$$$$....kiasali asali ni tamu wajameni wuuuuooiiiiiii!!Aahahahahhahaahahaa abeeeeh Kiasali, wajionaje na hali?
Yaani hapa nimechokaa macho nayafumbua kwa hisani ya wiper laah yananing'inia nusu mlingoti. Ugeni umenishughulisha mwanamke nikashughulika looh!