Its not about black and white. All people are good and illuminati is not real

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
1,092
804
Wakuu, kitu ambacho inatakiwa tuwe aware kwenye hii dunia ni kwamba tusi concetrate sana kuchukia races, "all races are equal under the sun.

Watu wana concetrate kuchukia wazungu sana na historia iliyotuumiza kwa mda mrefu. Lakini hata kabla ya kuja kwa wakoloni waafrika wenyewe tumeoneana sana. So its about the game of power and wealth not black and white.

Dont put much effort on hating white people, we should join collectively and hate evil not white people.

And there is no such thing called illuminati. Illuminati walikuepo miaka ya nyuma sana. Na group hilo lilianzishwa kwa kubadilisha order ya dunia kutokana na kwamba religion ilikua hai work out anymore kusolve matatizo ya dunia.

Black and white we all human race and we should collectively fight evil.
 
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.

Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
 
Bible say he made in the his image but didn't said black or white.
Kweli aisee. We are busy hating each other. Tuisahau historia tu. Haya maisha tunapita tu. Hakuna atakaeishi duniani milele.
Mi kuna wazungu nawafahamu wanaroho nzuri sana. Evil and good can be found in any race. Tuachane na hizi mambo za kuchukia wazungu
 
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.

Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
Tupendane tusiwachukie wazungu. Mbona mada hii haiendani na kilichoandikwa mkuu.

Kitu kikubwa hapa ni kutokua na mentality za kuchukia wazungu sana. Tuwapende. Hawana nia mbaya kama tunavohubiriwa
 
Hata tukiwachukia haisaidii. Sababu tunaishi kwenye system yao. Kila kitu cha technology wamevumbua wao. Utawapiga vita lakini mwisho wa siku utakua kwenye system. Kuanzia mawasiliano, usafiri, silaha.

Mzungu ana akili, hawa wanaweza kua aliens wenda wametoka sayari nyingine. Si viumbe vya kawaida
Me wazungu naanzaje kuwachukia yaani. Me napenda kuwala
 
Hail Lucifer, The Lord of light. Lucifer the great teacher who brings knowledge to humanity
 
Hata tukiwachukia haisaidii. Sababu tunaishi kwenye system yao. Kila kitu cha technology wamevumbua wao. Utawapiga vita lakini mwisho wa siku utakua kwenye system. Kuanzia mawasiliano, usafiri, silaha.

Mzungu ana akili, hawa wanaweza kua aliens wenda wametoka sayari nyingine. Si viumbe vya kawaida
Sasa hapa umeharibu mzee, au kama umeandika kimzaha mzaha.
 
Sasa hapa umeharibu mzee, au kama umeandika kimzaha mzaha.
Kwann nimeharibu mkuu, kwani kuna nn. Wenyewe si ndo wamefanya kila kitu kikubwa hapa duniani.

Mfano.
Umeme
Gari
Computer
Mifumo ya uongozi
Falsafa
Kuandika
Lugha

Wako vizuri wazungu. Tuwapende. Dunia ni yetu sote, acha wao wawe leaders wa dunia. Bila wao dunia ingeangamia
 
Mifumo ya uongozi
Falsafa
Kuandika
Lugha
Unaposema Mifumo ya Uongozi una maanisha nini ?

Unaposema Falsafa kadhalika una maanisha nini na kivipi ?

Kuandika,kuandika kuhusu nini na juu ya nini na ilikuwa lini, kwa kulinganisha ba wengine ?

Lugha kivipi ? Unaongelea ukongwe wa Lugha au kwa mlengo gani ?

Swali la mwisho Mzungu ni nani ?
 
Wazungu ni watu ambao wako tofauti na waafrika.
Ningekua na picha ningekuonesha
 
Unaposema Mifumo ya Uongozi una maanisha nini ?

Unaposema Falsafa kadhalika una maanisha nini na kivipi ?

Kuandika,kuandika kuhusu nini na juu ya nini na ilikuwa lini, kwa kulinganisha ba wengine ?

Lugha kivipi ? Unaongelea ukongwe wa Lugha au kwa mlengo gani ?

Swali la mwisho Mzungu ni nani ?
Kuhusu hayo mengine ushahidi unaweza kuuona kwenye maisha ya sasa. Kila kitu wamedominate. Wao wananguvu za kitechnolojia kubwa sana.
Na wananchi wao wana akili sana
 
Back
Top Bottom