Its Funny

Its Funny

Gaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,558
Reaction score
1,971
Nasikia juzi uliwakatikia watu bar,

jana unamatikia boss ofisini,

Leo hii tena umenikatikia chumbani sijui una matatizo gani
jamani huu umeme wa tanesco
 
Hahaha! nilidhani unamuongelea binti wa Banji.Alitukatikia Mzalendo balaa wiki ilopita.
 
Lazima kwanza akushangae na atkasirika, the mwishowe atacheka kama sisi, hahahaaa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom