kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,683
- 14,869
Nakuheshimu pia mpenzi wangu...Namheshimu sitaki kumuamsha nangoja aamke
Nakuheshimu pia mpenzi wangu...Namheshimu sitaki kumuamsha nangoja aamke
Thank you sana.Happy birthday shemela wangu wa faida na hasara.
Mungu akulinde na husda za walimwengu, vijicho vyao, vinyongo vyao na minuksi yao.
Nakutakia maisha marefu na yenye kumpendeza Mungu daima na milele.
HAPPY BIRTHDAY kiwatengu.
Ila hii couple ya zamani jamani....wengine hata hatujui ma-partner wetu wa miaka hiyo walipo.
All in All....HAPPY BIRTHDAY TO YOUUU!!!!!
Oh...kumbe ushaijibu hiiTunao mabinti wawili warembo sana majina kapuni
Asante brazaAko api sasa? Hepi day kaka
Assist
Asante sanaKumbe.
Hongereni sana jamani
Akhaaaa......sijui katu.Shem inamaana hujui kama tunao mabinti zetu wawili?
Asante sana shemelaThank you sana.
Tulishaula sana...ha ha ha haAkhaaaa......sijui katu.
Najua bado mnakula ujana, mkichoka mtapandikiza popote
Asante mkuuHongera kwa kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake, Mungu awaongezee furaha na amani katika maisha yenu yote.
unakesi ya kujibu.Sijui ndo nshachelewa hiyo cake,
Happy birthday @kiwatengu,baraka na amani viwe nanyi
Honey Faith yuko wapi kweli?Happy birthday kiwatengu