kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafari kazi ya mtu mwenye cheo hiki ndani ya CCM ambaye ni Nape Nnauye bila kuelewa?
Kazi yake kubwa ameifanya kupitia mgongo wa CHADEMA, hata mikutano ya CCM ataishia kutaja CHADEMA au viongozi wake.
Nashindwa kuelewa kama ndio mwongozo wa kazi yake ulivyo au ndio uenezi wenyewe au uwa kuna mambo mengine anayafanya au kuyaongea lakini hayapewi coverage na vyombo vya habari?