keki ya harusi JF-Expert Member Jul 23, 2017 271 430 Dec 2, 2017 #1 Itifaki imekaaje kumuuandikia Rais barua ili atatue matatizo ya pahali ulipo Kuna ndg yangu anataka kumuuandikia rais barua ili atatue matatizo ya pahali pake
Itifaki imekaaje kumuuandikia Rais barua ili atatue matatizo ya pahali ulipo Kuna ndg yangu anataka kumuuandikia rais barua ili atatue matatizo ya pahali pake
Ketoka JF-Expert Member Sep 23, 2015 1,087 1,913 Dec 2, 2017 #3 Katibu tarafa,DC ,Rc hawapo,acha kiki
kilambalambila JF-Expert Member Nov 16, 2013 9,290 8,611 Dec 2, 2017 #4 Atakuwa mang'ati huyo au mumbulu ndo wana hiyo tabia
kivyako JF-Expert Member Feb 2, 2012 14,341 12,045 Dec 2, 2017 #5 Itategemea eneo/mahali alipo huyo mdau!!! Lakin hujatwambia rais yupi!
Rohombaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 13,056 10,342 Dec 2, 2017 #6 Dah...aandike tu.... Rais wa JMT, SLP 11400, 1 Barabara ya Barack Obama, Dar es Salaam Namba ya simu: +255 22 2116898 +255 22 22116900/6 Faksi: 0222113425/ 2116910/2117272 , Barua pepe: ikulu@ikulu.go.tz
Dah...aandike tu.... Rais wa JMT, SLP 11400, 1 Barabara ya Barack Obama, Dar es Salaam Namba ya simu: +255 22 2116898 +255 22 22116900/6 Faksi: 0222113425/ 2116910/2117272 , Barua pepe: ikulu@ikulu.go.tz
jurist JF-Expert Member Dec 15, 2013 271 497 Dec 2, 2017 #7 Maji, maji, maji, maji, sinza YAMEKUWA historia siku ya nne leo . Yake ikijibiwa na mimi ntaandika yangu kwakweli
Maji, maji, maji, maji, sinza YAMEKUWA historia siku ya nne leo . Yake ikijibiwa na mimi ntaandika yangu kwakweli